Tunamkaribisha kama mgeni wetu Bwana Godefroid Misenga Milabyo. Yeye ndiye katibu mtendaji wa kamati ya uongozi na elekezi ya mageuzi ya fedha za umma, COREF. Kama unavyojua, timu ya COREF iko Maniema kusaidia jimbo hili katika mageuzi ya fedha za umma, kama ilivyoombwa na Gavana wa Maniema, Mussa Kabwankubi Moise. Mgeni wetu Godefroid Misenga Milayo akiongea na Florence Kiza Lunga.
Recent Posts
Terrorist Cell Neutralized Near Majel Bel Abbes Delegation
January 22, 2026
Head of State Visits Families of Moknine Flood Victims
January 21, 2026