Day: January 6, 2025

Max Kandolo : Wauzaji wengi wa kahawa wanauza inje ya inchi kwa njia isiyo halali.

Asilimia makumi nane ya kahawa ya kutoka Jimbo la Ituri inaepuka mzunguko wa kawaida wa kuuza nje ya inchi. Hivi ndivyo alivyosema mkuu wa ofisi ya habari za kibiashara katika kituo cha forodha cha Mahagi. Sababu ni ukosefu wa usimamizi wa wakulima, kulingana na chanzo hicho. Kwa upande wake, mkurugenzi wa mkoa wa ONAPAC, Max Kandolo Lusele, anahalalisha upungufu huu mkubwa kwa nchi kuwa na mipaka inaingiwa hata kinyume na sheria. Katika mahojiano na Sadiki Abubakar, Max Kandolo anazungumzia kuhusu juhudi za serikali kubadili mwelekeo huo. Fuata! Source: Radio Okapi

Continue Reading

L’UE condamne l’occupation de Masisi-Centre par le M23

Dans une declaration publiée lundi 6 janvier par le porte-parole de l’Union européenne (UE), cette organisation “condamne fermement l’occupation récente par le groupe armé M23 de la ville de Masisi et ces environs, au Nord-Kivu”. Pour l’EU, l’avancée continue du M23 constitue une violation flagrante du cessez-le-feu convenu dans le cadre du processus de Luanda. Ces développements compromettent considérablement les efforts entrepris en faveur d’une résolution pacifique du conflit dans l’est de la RDC. Elle exhorte donc le M23 à se retirer immédiatement et à respecter pleinement le cessez-le-feu. “L’UE demande instamment au Rwanda de mettre fin à sa coopération

Continue Reading